REMONTADA yawapa jeuri Azam FC Azam inaendelea kujifua kwenye Uwanja wa Azam Complex ikijiandaa na mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku Kocha Lavagne akitamba anaamini vijana wake watapindua meza licha ya aibu waliyiopata ugenini. Read more about REMONTADA yawapa jeuri Azam FC