Tiffah ambananaisha Diamond mbele ya Zari 

Picha ya Diamond akiwa na familia yake Zari, Tiffah na Nillan.

Mtoto wa staa wa muziki nchini Tanzania na Africa Diamondplatnumz na Zari The Bosslady Princess Tiffah amembananisha baba yake kuhusu kuwa na mwanamke na mtoto mwingine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS