Prof. Malebo Aeleza Tanzania Haina Ardhi ya Kimila Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya UNESCO ya Tanzania, Prof. Hamisi Malebo amesema kuwa Tanzania haina ardhi ya Mababu,Ardhi ya Makabila pamoja na ardhi ya kimila. Read more about Prof. Malebo Aeleza Tanzania Haina Ardhi ya Kimila