Tanzania ina upotevu wa hekta laki 4 za misitu
Tanzania imetajwa kuwa ipo kwenye hali mbaya ya upotevu wa misitu unaosababishwa na uharibifu wa mazingira ambapo idadi imeongezeka na kufikia upotevu wa zaidi ya hekta laki 4 kwa kipindi cha mwaka huu.