Mbunge wa CCM afariki dunia Mbunge Mussa Hassan, aliyefariki dunia Mbunge wa Jimbo la Amani, Mussa Hassan, amefariki dunia hii leo Oktoba 13, 2022, visiwani Zanzibar. Read more about Mbunge wa CCM afariki dunia