Tanzania na nchi 11 zajadili sera ya kukuza uchumi
Imeelezwa kuwa moja ya changamoto ambayo imekwamisha kwa kipindi kirefu sekta za uzalishaji kukua ni kutofungana kwa sera za nchi baina ya sekta na hali ambayo imesababisha kuzorota kwa sekta za uzalishaji.