''Tumeshinda Angola, hatujafuzu''Ahmed
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally amesema licha ya kufanikiwa kupata ushindi mnono katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Premiero De Agosto lakini bado hatujafuzu hivyo tutapambana Jumapili kuhakikisha tunaingia hatua ya makundi.