Tanzania kutazama upya sera zake kukuza uchumi
Imeelezwa kuwa moja ya changamoto ambayo imekwamisha Kwa kipindi kirefu sekta za uzalishaji kukua kutofungana Kwa sera za nchi baina ya sekta na sekta Hali ambayo imesababisha kuzorota sekta za uzalishaji.