Samaki Kasa aua watatu, 74 walazwa
Watu watatu akiwemo mtoto wa mwezi mmoja, wakazi wa Kijiji cha Rushungi, wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, wamefariki dunia na wengine 74 kukimbizwa katika vituo vya afya baada ya kula samaki aina ya Kasa mwenye sumu.