Urusi yawashikilia waliolipua daraja
Idara ya Usalama ya kitaifa nchini Urusi, FSB imesema imewaweka kizuizini raia watano wa Urusi, watatu wa Ukraine na mmoja wa Armenia kwa kuhusika na mlipuko ulioharibu daraja linaloiunganisha na Rasi ya Crimea Jumamosi iliyopita.