DJ Khaled azama studio na Burnaboy Picha ya DJ Khaled na Burnaboy studio Producer maarufu nchini Marekani na duniani kwa ujumla DJ Khaled amekutana na staa wa muziki barani Africa Burnaboy studio na kurekodi baadhi ya nyimbo wakiwa pamoja. Read more about DJ Khaled azama studio na Burnaboy