Dkt. Tulia M/kiti wa Mabunge Duniani

Dk Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania

Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kundi la kijiografia Kanda ya Afrika ya Umoja wa Mabunge Duniani (African Geopolitical group of IPU) .

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS