Tanzania kujadili ishu za wakimbizi Geneva Uswisi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema anatarajia kuiwakilisha Serikali ya Tanzania katika Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wakimbizi (UNHCR).