Wadau waitaka serikali kudhibiti uuzaji dawa asili
Dawa asilia zikiuzwa mtaani, Dar es Salaam
Wadau wa dawa asilia nchini wameiomba serikali kuingilia kati hali ya baadhi ya watu kuuza dawa hizo katika maeneo yasiyo rasimi ikiwemo pembezoni mwa barabara.