Umoja wa Ulaya kuwasaidia Watanzania vijana
Katika kuendelea kukuza ushirikiano kati ya Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) na Tanzania, mataifa hayo yamedhamiria kuwasaidia vijana wa Kitanzania wanaojihusisha na kazi za sanaa na utamaduni, kwa kuanzisha mradi utakaogharimu Euro elfu 60.