Harmonize afunguka baada ya Killy na Cheed kusepa

Picha ya Harmonize na Cheed na Killy

CEO wa lebo ya Kondegang Harmonize amefunguka baada ya taarifa ya kuwatena wasanii wake Killy na Cheed akieleza kwamba anawaamini hawatomuangusha pia wana kila sababu ya kuwa wasanii wakubwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS