Tanzania na Kenya waondoa vikwazo 54

Serikali ya Tanzania na Kenya imefanikiwa kuondoa vikwazo 54 vya kibiashara kati ya 68 na kuwataka Mawaziri wa Sekta ya Biashara na Uwekezaji wakutane haraka kufanyia kazi vikwazo 14 vilivyobaki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS