Mto Ruaha hatarini kukauka Picha ya mto Ruaha Mkuu Wanyamapori na viumbe hai walipo katka hifadhi ya Taifa ya Ruaha vipo hatarini kupoteza maisha baada ya Mto wa The Great Ruaha kukauka ambao kimsingi ndio roho ya Hifadhi ya Taifa Ruaha. Read more about Mto Ruaha hatarini kukauka