Umeme wakwamisha uzalishaji Kagera

Fundi wa umeme

Baadhi ya Wakazi wa Mkoa wa Kagera wameliomba shirika la umeme nchini TANESCO kuwezesha kuwepo kwa umeme wa uhakika, ili kuwaondolea adha ya umeme kukatika hovyo, hali inayowasababishia hasara hasa kwa wale ambao wanategemea nishati hiyo katika uzalishaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS