Msiogope kuhusu bima ya afya kwa wote -Prof.Makubi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi
Serikali imewaomba wananchi kuunga mkono suala la Bima ya Afya kwa Wote na kupuuza vitisho juu ya suala hilo kwa kuwa ndilo mkombozi wa Afya za Watanzania.