Mzee wa miaka 70 mbaroni kwa ulawiti
Polisi huko katika maeneo ya Tharaka-Nithi , wanamshikilia mzee mmoja mwenye umri wa miaka 70 akituhumiwa kuwalawiti watoto wawili wa kike wenye umri kati ya miaka 7 na 11 huko katika maeneo ya Kirangare nchini Kenya.