LHRC yaitaka serikali kufuta adhabu ya kifo

Wakili Anna Henga, Mkurugenzi Mtendaji LHRC

Kituo cha Sheria na Haki za Binadam (LHRC) kimeitaka serikali kufuta adhabu ya kifo kwa watuhumiwa wanaohukumiwa adhabu hiyo kwakuwa ni kinyume na haki ya kuishi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS