Wakusanya mapato watakiwa kuongeza juhudi
Serikali imezitaka wizara, idara zinazojitegemea na taasisi za Serikali zinazokusanya Mapato yasiyo ya kodi, kuongeza juhudi katika ukusanyaji wa mapato ili kufikia malengo ambayo Serikali imejiwekea kwaa mwaka wa fedha 2022/2023.