Polisi yaombwa kudhibiti wauza mirungi Kilimanjaro
Biashara ya mirungi Mkoa wa Kilimanjaro imekithiri, huku ikisafirishwa mchana waziwazi kwa pikipiki hali hiyo imetajwa kuleta taharuki miongoni wa wananchi wakiziomba mamlaka kufanya operesheni kabambe.