Ukraine yasitisha ziara zake Afrika Waziri wa mambo ya nje wa Ukraine Dmytro Kuleba amekatisha ziara yake barani Afrika kutokana na mashambulizi ya Urusi yanayoendelea nchini kwake. Read more about Ukraine yasitisha ziara zake Afrika