Ujenzi wa miradi kukuza utalii kanda ya ziwa
Miradi ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa na Serikali mkoani Mwanza inaenda kufungua fursa za utalii katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali, amesema Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja.