Serengeti Girls yaifunga Ufaransa kombe la dunia

Timu ya taifa ya Tanzania ya wasichana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Girls imepata ushindi wa kwanza kwenye michuano ya kombe la Dunia ya wasichana chini ya umri huo, fainali zinazoendela nchini India baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya taifa ya Ufaransa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS