Mgogoro uliodumu zaidi ya miaka 30 watatuliwa

Mkuu wa mkoa wa Tanga Omar Mgumba

Mkuu wa mkoa wa Tanga Omar Mgumba, ametumia muda wa dakika 30 kutatua mgogoro wa mpaka uliodumu kwa miaka zaidi ya 30 kati ya wilaya za Tanga Jiji na Mkinga na kutoa maagizo sita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS