Mwanaume aombewa apate nguvu za kiume Nabii Jeremiah akimuombea muumini wake Mchungaji mmoja nchini Kenya anayejiita Nabii Jeremiah Kioko, imesambaa video yake mitandaoni ikimuonesha akimuombea mwanaume mmoja ili apate nguvu za kiume kwa kumsukuma kisha kumshika nyeti zake. Read more about Mwanaume aombewa apate nguvu za kiume