Kyrie Irving's asaini miaka mitatu Dallas Maverick
Kyrie Irving's - Mchezaji wa Timu ya Dallas Mavericks
Mchezaji wa Timu ya Dallas Mavericks inayoshiriki Ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA Kyrie Irving's ameongeza mkataba wa miaka mitatu na timu hiyo