Idadi ya Watanzania Kujiandikisha Yazidi Kwa 8% Idadi ya Watanzania waliojitokeza kujiandikisha imeongezeka kwa 8%, kwa mwaka 2024 ambapo wamejiandikisha watu milioni 31,282,331 Sawa na 94.82% ukilinganisha na uchaguzi wa mwisho wa mwaka 2019 Read more about Idadi ya Watanzania Kujiandikisha Yazidi Kwa 8%