Wajumbe wa RCC Mtwara wapoteza imani na Mkandarasi
Wajumbe wa kamati ya ushauri ya mkoa wa Mtwara (RCC) wamesema hawana imani na mkandarasi anayetekeleza mradi wa REA awamu ya kwanza mzunguko wa tatu, kutokana na mkandarasi huyo kushindwa kutekeleza mradi huo kwa wakati