Afanya mauaji ya kutisha shuleni Takribani watu 31 wameuawa kutokana na shambulizi la kisu na risasi lililofanywa na askari polisi wa zamani huko nchini Thailand , kwenye shule ya watoto wadogo. Read more about Afanya mauaji ya kutisha shuleni