Harmonize amtoa machozi Mr Blue Picha ya msanii Harmonize CEO wa Kondegang Harmonize ameshea story ya kumtoa machozi msanii wa HipHop Mr Blue baada ya kukutana studio kurekodi ngoma ya Unanimaliza inayopatikana kwenye Album ya Afro East ya Harmonize. Read more about Harmonize amtoa machozi Mr Blue