Azam FC kuifata Al Akhdar, Oktoba , 6
Kikosi cha wachezaji 25 wa Azam FC kinataraji kuondoka kesho Alhamisi ya Oktoba 6,2022 kuelekea jijini Benghazi,nchini majira ya Saa 11.25 Alfajiri kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho Barani Afrika 2022-2023..