Simba SC kuifata de Agosto, Jumamosi
Klabu ya Simba itaondoka nchini Oktoba 08, 2022 kueleka nchini Angalo ambako itacheza mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya wenyeji wao Primeiro de Agosto, mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya kwanza utakaochezwa Oktoba 09,2022. Amethibitisha Afisa habari wa klabu hiyo Ahmed Ally.