Gachi akana kutoka kimapenzi na Kusah 

Picha ya msanii Gachi kushoto na Kusah kulia

Msanii Official Gachi amekana taarifa za madai ya kuhusishwa kuwa na mahusiano na staa wa filamu Auty Ezekiel Kusah kwa kusema hakuna kinachoendelea kati yao zaidi ya kazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS