Bila BASATA hupati visa kwa wasanii

Picha ya Meneja D Figther na msanii wake Phina Tz

Meneja wa msanii Sarahina Tz (Phina) D Fighter amesema kuna ugumu kwa msanii kupata Visa ya kusafiria kama hujasajiliwa na kutambuliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS