VodaCom yafungua dawati la watu mahitaji maalum
Wakati ulimwengu mzima ukiadhimisha wiki ya huduma kwa wateja, kampuni ya Vodacom Tanzania imesema ili kuhakikisha kwamba wateja wake wote wanapata huduma stahiki imeamua kuzindua dawati maalum la huduma kwa wateja wenye mahitaji maalum ili kuweka usawa wa utoaji huduma.