Mapato ya ardhi hayaridhishi - Dkt. Kijazi
Katibu Mkuu wa Wizara ya ardhi Dkt Allan Kijazi amesema mapato ya ardhi yanayolipwa kupitia miamala mbalimbali bado yako chini huku zikitajwa baadhi ya changamoto kadhaa ikiwemo mifumo isiyo rafiki ya makusanyo ya mapato ya ardhi kutoka Kwa wananchi