Shule ya Sekondari Chiungutwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chiungutwa iliyopo katika wilaya ya Masasi, Mtwara walikabadhiwa taulo za kike pakiti 1008 zitakazoweza kuwasaidia wanafunzi 84 kwa mwaka mzima. Submitted by Shaluwa Anta on Alhamisi , 29th Sep , 2022 Read more about Shule ya Sekondari Chiungutwa