Wizara ya Mifugo yatakiwa kumaliza kero ya Kuku
Wizara ya mifugo na Uvuvi imeagizwa kushirikiana na sekta binafsi kwa ajili ya kuandaa mashamba darasa kwa ajili ya uzalishaji wa kuku wazazi, wa mayai, nyama na vifaranga ili kuongeza uzalishaji utakaopunguza changamoto ya mahitaji ya nyama hiyo.