Mfuko wa Maendeleo Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu umeahidi kutoa mkopo nafuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini Tanzania Read more about Mfuko wa Maendeleo Abu Dhabi kuikopesha Tanzania