Asilimia 33 ya Watanzania wana uzito kupitiliza
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imesema kwamba asilimia 30 ya Watanzania wana tatizo la shinikizo la juu la damu na asilimia 33 wana uzito wa juu wa kupitiliza jambo linaloashiria kwamba wapo kwenye hatari ya kupata magonjwa ya moyo.