Kimbunga Ian chawatesa Wamarekani. Kimbunga kikubwa kuwahi kutokea kimeipiga Marekani katika jimbo la Florida na kuacha mamilioni ya watu bila huduma ya umeme na mafuriko makubwa kabisa. Read more about Kimbunga Ian chawatesa Wamarekani.