"Mama yangu anataka niache mziki" - Nay Wa Mitego

Picha ya Nay Wa Mitego akiwa na mama yake mzazi

Rais wa kitaa Nay Wa Mitego ameeleza kuwa mama yake mzazi, watoto wake na familia yake kwa ujumla inatamani aachane na mziki na kufanya shughuli nyingine kutokana na changamoto anazopitia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS