Irene Uwoya atikisa anga za fashion Bongo Picha ya msanii Irene Uwoya Staa wa filamu nchini Tanzania Irene Uwoya ameonekana kutupia zaidi mavazi ya jeans zenye style ya kuachinikachanika (Crazy Jeans) kwenye baadhi ya mitoko yake siku za hivi karibuni. Read more about Irene Uwoya atikisa anga za fashion Bongo