Calisah awapa za uso wasanii wa Bongo Picha ya msanii Calisah Mwanamitindo maarufu nchini Tanzania Calisah amewaambia ukweli wasanii wa Tanzania wajifunze kwa msanii Nyashinski kutoka Kenya kwenye ufanyaji shows zao kwenye majukwaa. Read more about Calisah awapa za uso wasanii wa Bongo