Kijana apigwa mawe hadi kufa baada ya kuua wawili

Wananchi wa Kolandoto wakiwa na majonzi kufuatia vifo vya wananchi wenzao

Vilio na simanzi vimetawala kwa wakazi wa Kata ya Kolandoto, mkoani Shinyanga, baada ya watu wawili kuuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali na kijana anayesadikiwa kuwa na matatizo ya akili na kisha wananchi wenye hasira kumuuwa muuaji huyo kwa kumshambulia kwa mawe na kumchoma moto.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS