Utafiti wa wingi wa samaki ziwa Tanganyika waanza “Utafiti huu utahusisha mazao ya Uvuvi aina ya Migebuka, Dagaa au Samaki wanaoelea wa tabaka la juu, ili kusaidia uwekezaji wenye tija kwa takwimu na kuvutia wawekezaji”- Dkt. Mhede Read more about Utafiti wa wingi wa samaki ziwa Tanganyika waanza